Linah: Wasanii wa Bongo Wakiweka Picha Mtandaoni na Kuvaa Kama hivi Wanapondwa ila Picha Kama Hiyo Akiweka Rihanna Wanamsifia
Msanii Linah anasema wasanii wa bongo wakiweka picha kwenye mitandao ya
jamii wanapondwa,picha hiyo hiyo akiweka Rihanna anasifiwa kisha
akamalizia kwa kusema Tusupport wa nyumbani.